Asante Bwana Yesu

Asante Bwana Yesu
Performed by-
CategoryEkaristia (Eucharist)
Views21,691

Asante Bwana Yesu Lyrics

  1. Asante Bwana Yesu, kwa mema yako (yote)
    Kwa mema yako, uliyotujalia
    Asante, kwa mema yako (yote)
    kwa mema yako, uliyotujalia

  2. Umetulisha umetunywesha, twashukuru
  3. Mema ya mbingu tumeyapata, twashukuru
  4. Mwana wa Mungu u kati yetu, twashukuru
  5. Kwa vitu vyote ulivyotupa, twashukuru
  6. Msamaha wako umetujalia, twashukuru
  7. Asante sana kwa mema yako, twashukuru