Asubuhi Mchana Usiku
Asubuhi Mchana Usiku | |
---|---|
Performed by | St. Charles Lwanga Kisii |
Album | Asubuhi Mchana Usiku |
Category | Thanksgiving / Shukrani |
Views | 18,993 |
Asubuhi Mchana Usiku Lyrics
- Nitakuimbia Mungu wangu kweli
Asubuhi mchana usiku
Nitakuimbia Mungu wangu kwa shangwe
Vinanda ngoma nitazipiga
Vigelegele shangwe makofi nitakusifu milele yote - Nitakushukuru Mungu wangu kweli . . .
- Nitazitangaza sifa zako kweli . . .
- Nitalitukuza jina lako kweli . . .
- Nitakuhimidi Mungu wangu kweli . . .
- Nitakuinua Mungu wangu kweli . . .