Asubuhi Nitakuimbia

Asubuhi Nitakuimbia
ChoirSt. Joseph Migori
AlbumNimeteuliwa
CategoryThanksgiving / Shukrani
ComposerAlfred Ossonga

Asubuhi Nitakuimbia Lyrics

 1. Ee Bwana nitakushukuru kwa moyo wangu wote *2

  Asubuhi nitakuimbia kwa shangwe na vigelegele
  Nitacheza ngoma na kayamba, kinanda pia baragumu
  Mchana nitarukaruka, usiku nitakusifu
  Mimi nitasimulia, matendo yako makuu

 2. Ee Bwana nitakuabudu kwa moyo wangu wote *2
 3. Ee Bwana nitakutukuza kwa moyo wangu wote *2
 4. Ee Bwana kwa upendo wako mimi nimeumbwa *2
 5. Ee Bwana nitayatangaza matendo yako mema *2