Aulaye Mwili Wangu
Aulaye Mwili Wangu | |
---|---|
Performed by | St. Francis of Assisi Msimbazi |
Category | Ekaristia (Eucharist) |
Composer | Stanslaus Mujwahuki |
Views | 49,452 |
Aulaye Mwili Wangu Lyrics
Aulaye mwili wangu, na kuinywa damu yangu,
Hukaa ndani yangu, nami hukaa ndani yake.- Aulaye mwili wangu, na kuinywa damu yangu,
Ana uzima wa milele - Njoni enyi wenye njaa, njooni enyi wenye kiu,
Njoni kwangu niwashibishe - Aniaminiye mimi, na kushika nisemavyo,
Nitamfufua siku ya mwisho - Mlapo chakula hiki, mnywapo kinywaji hiki,
Mwatangaza kifo cha Bwana.