Baba Yetu (Misa Elizabeti)
| Baba Yetu (Misa Elizabeti) | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | TBA |
| Views | 3,042 |
Baba Yetu (Misa Elizabeti) Lyrics
Baba yetu wa mbinguni (jina) Jina lako litukuzwe daima
Ufalme wako utufikie, duniani Kama mbinguni (Baba)- Utupe leo riziki zetu, utusamehe makosa yetu (Baba)
- Kama tunavyowasameha, wale wanaotukosea (Baba)
- Usitutie kishawishini, utuopoe maovuni (Baba)
- Kwa kuwa ufalme ni wako Baba, na nguvu na utukufu (Baba)