Baba Yetu (Misa Imani)
Baba Yetu (Misa Imani) | |
---|---|
Performed by | - |
Category | TBA |
Views | 3,464 |
Baba Yetu (Misa Imani) Lyrics
Baba yetu Baba uliye mbinguni
Jina lako Baba litukuzwe
Na ufalme wako Baba uje kwetu
Na mapenzi yako Baba yatimizwe- Tupe leo mkate wetu wa kila siku
Mkate wetu Baba tupe kila siku - Na utusamehe Baba, tusamehe
Kama tufanyavyo Baba kwa wenzetu - Situtie Baba kwenye kishawishi
Bali utuopoe Baba maovuni - Ufalme na nguvu hata utukufu
Vyote vyako Baba hata milele