Baba Yetu (Misa Pamoja )
| Baba Yetu (Misa Pamoja ) | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | TBA |
| Views | 3,095 |
Baba Yetu (Misa Pamoja ) Lyrics
Baba yetu uliye mbinguni
Jina lako litukuzwe daima
Utawala wako ufike kwetu
Ewe Mungu na Baba yetu
Tupe leo chakula chetu - ewe Mungu Baba yetu
Utusamehe makosa yetu
Kama sisi tunavyosamehe- Usitutie majaribuni,
utuokoe na Yule mwovu - Kwa kuwa ufalme ni wako,
na nguvu na utukufu milele