Baba Yetu (Misa Taita)
Baba Yetu (Misa Taita) |
---|
Performed by | - |
Category | TBA |
Views | 3,558 |
Baba Yetu (Misa Taita) Lyrics
[v:] Baba yetu uliye mbinguni -
[w:] Baba yetu, Baba yetu
[v:] Jina lako litukuzwe daima -
[w:] Ee Baba, ee Baba, ee! Baba yetu uliye mbinguni
Jina lako litukuzwe, Ufalme wako ufike
Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni
- Utupe leo mkate wetu wa kila siku
Utusamehe makosa yetu, Kama tunavyowasamehe
Na sisi waliotukosea, Usitutie katika kishawishi
Lakini utuopoe maovuni
- Kwani ufalme ni wako - Baba yetu
Kwani nguvu ni zako - Baba yetu
Utukufu ni wako - Baba yetu
Baba milele milele -
Hizi zote zako Baba!