Baba Yetu (Misa Voi)
Baba Yetu (Misa Voi) | |
---|---|
Performed by | - |
Category | TBA |
Views | 2,949 |
Baba Yetu (Misa Voi) Lyrics
[v:] Baba yetu
[w:] Baba yetu uliye mbinguni *2
Jina lako litukuzwe, Ufalme wako ufike
Utakalo lifanyike, Duniani kama mbinguni- Tupe leo riziki zetu, riziki za kila siku,
Tusamehe makosa yetu,
kama tunavyowasamehe, nasi waliotukosea - Situtie majaribuni, walakini utuopoe
Tuopoe maovuni, tuopoe maovuni - Kwa kuwa falme, ufalme ni wako
Na nguvu, utukufu milele
Utukufu milele, utukufu milele