Baba Yetu Baba

Baba Yetu Baba
Performed by-
CategoryTBA
Views3,069

Baba Yetu Baba Lyrics

  • Baba yetu Baba wa Mbinguni
    [Na] Jina lako litukuzwe


    Ufalme wako ufike, utakalo lifanyike [na]
  • Tupe leo mkate wetu wa kila siku [na]
  • Tusamehe makosa yetu kama vile twawasamehe
  • Situtie kishawishini walakini utuopoe [na]
  • Kwa kuwa ufalme ni wako na nguvu na utukufu