Binadamu Ni Mavumbi
| Binadamu Ni Mavumbi | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Mazishi |
| Composer | (traditional) |
| Views | 20,620 |
Binadamu Ni Mavumbi Lyrics
- Binadamu, binadamu ni mavumbi
Mavumbini - mavumbini atarudiNa tukifika - huko tutaimba aleluya
Makao - makaoni ya raha, ya raha (na starehe)
Yako huko Mbinguni - Mwili wake - Mwili wake hukauka
Hukauka - kama ua la bondeni