Bwana Alikuwa Tegemeo
Bwana Alikuwa Tegemeo |
---|
Performed by | - |
Category | Zaburi |
Composer | Hillary B. Bagisi |
Views | 9,272 |
Bwana Alikuwa Tegemeo Lyrics
Bwana alikuwa tegemeo, langu langu *2
Akanitoa kanipeleka panapo nafasi nafasi
Akaniponya kwa kuwa alipendezwa nami
- Bwana alinitendea, sawasawa na haki yangu,
Maana nimezishika njia zake wala sikumwasi Mungu.
- Nimeshika maagizoye, sikuacha na amri zake
Mbele za Bwana sikuwa na hatia nikalinda wema wangu,
- Atukuzwe Baba na Mwana, naye Roho Mtakatifu
Kama mwanzo na sasa na siku zote na milele amina