Bwana Alikuwa Tegemeo

Bwana Alikuwa Tegemeo
Performed by-
CategoryZaburi
ComposerHillary B. Bagisi
Views8,779

Bwana Alikuwa Tegemeo Lyrics

  1. Bwana alikuwa tegemeo, langu langu *2
    Akanitoa kanipeleka panapo nafasi nafasi
    Akaniponya kwa kuwa alipendezwa nami

  2. Bwana alinitendea, sawasawa na haki yangu,
    Maana nimezishika njia zake wala sikumwasi Mungu.
  3. Nimeshika maagizoye, sikuacha na amri zake
    Mbele za Bwana sikuwa na hatia nikalinda wema wangu,
  4. Atukuzwe Baba na Mwana, naye Roho Mtakatifu
    Kama mwanzo na sasa na siku zote na milele amina