Bwana Alikuwa Tegemeo
| Bwana Alikuwa Tegemeo | |
|---|---|
| Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
| Album | Tazameni Miujiza (Vol 2) |
| Category | Zaburi |
| Composer | Hillary Bagisi |
| Views | 5,272 |
Bwana Alikuwa Tegemeo Lyrics
Bwana alikuwa tegemeo - langu langu *2
Akanitoa akanipeleka panapo nafasi nafasi
Akaniponya kwa kuwa alipendezwa nami *2- Bwana alinitendea, sawasawa na haki yangu
Maana nimezishika njia zake wala sikumwasi Mungu. - Nimeshika maagizoye, sikuacha na amri zake
Mbele za Bwana sikuwa na hatia nikalinda wema wangu, - Atukuzwe Baba na Mwana, naye Roho Mtakatifu
Kama mwanzo na sasa na siku zote na milele amina.