Bwana Alipoingia

Bwana Alipoingia
Performed by-
CategoryJumapili ya Matawi (Palm Sunday)
Composer(traditional)
Views3,741

Bwana Alipoingia Lyrics

  1. Bwana alipoingia, katika mji mtakatifu
    Watoto wa Mayahudi - walimlaki Bwana
    Wakichukua matawi - ya mizeituni
    Wakisema hosanna, hosanna, hosanna
    juu hosanna juu mbinguni *2

  2. Wakatandaza na nguo zao wakimlaki Bwana
  3. Hosanna hosanna juu mbinguni hosanna mbinguni
  4. Mbarikiwa anayekuja kwa jina la Bwana