Bwana Yesu Alipokwisha Kula
Bwana Yesu Alipokwisha Kula |
---|
Performed by | - |
Category | Alhamisi Kuu |
Composer | (traditional) |
Views | 5,289 |
Bwana Yesu Alipokwisha Kula Lyrics
Bwana Yesu alipokwisha kula pamoja na wafuasi wake,
Aliwaosha miguu yao
- Bwana Yesu alipokwisha kula pamoja na wafuasi wake,
aliwaosha miguu
- Akawaambia mwafahamu niliyowatendea
Mimi niliye bwana na mwalimu wenu
- Nimewapa mfano ili mtende ninyi mtende vile vile
- Amin amin, nawaambia ninyi
Mtumwa si mkuu kuliko Bwana wake
- Wala mtume sio mkuu, kuliko yeye aliyempeleka
- Mkiyajua haya, heri ninyi mkiyatenda