Bwana Amejaa Huruma Lyrics

BWANA AMEJAA HURUMA

@ J. C. Shomaly

Bwana amejaa huruma (amejaa)
Bwana amejaa huruma na neema

 1. Ee nafsi yangu umhimidi Bwana,
  Naam vyote vilivyomo ndani yangu
  Vilihimidi jina lake takatifu
 2. Akusamehe maovu yako
  Akuponye magonjwa yako yote
  Akutie taji ya fadhili na rehema
 3. Bwana ndiye afanyaye mambo ya haki,
  Na hukumu kwa wote wanaoonewa
  Alimjulisha Musa njia zake
 4. Bwana amejaa huruma na neema
  Haoni hasira upesi
  Ni mwingi wa fadhili na rehema
Bwana Amejaa Huruma
COMPOSERJ. C. Shomaly
CHOIRSt. Cecilia Zimmerman
ALBUMNimezitambua Hila (Vol 5)
CATEGORYZaburi
 • Comments