Bwana Amenitendea
Bwana Amenitendea Lyrics
|s| Bwana amenitendea mambo ya ajabu
mambo makuu sana
Amenitendea ya ajabu makuu
|a| Bwana amenitendea mambo ya ajabu makuu sana
[t] Bwana ametenda haya . . .
|w| Ametenda kwa mkono wake wenye nguvu
[b] Bwana ametenda,
[w] Amenitendea haya kwa huruma yake.
- Ameniepusha na magonjwa mengi -
kwa nini nisimshukuru Mungu wangu
Ameniepusha na ajali nyingi -
- Amewashinda maadui zangu wote -
Amenipa ulinzi wa malaika zake -
- Amenipa uhai bila ya gharama -
Amenipa neema na baraka tele -