Bwana Anakuja Kwetu
| Bwana Anakuja Kwetu | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Majilio (Advent) |
| Views | 7,634 |
Bwana Anakuja Kwetu Lyrics
Bwana anakuja, anakuja kwetu anakuja *2
Tengenezeni njia yake yanyosheni mapito yake
Anakuja kutukomboa *2- Waambieni wanaokufa moyo, anakuja msiogope
Bali jipeni moyo anakuja - Furahini wote katika Bwana, anakuja
Anakuja naye hatakawia, anakuja - Afikapo Bwana na malaika, anakuja
Kiti cha enzi atakikalia, anakuja - Mataifa yote yatakusanywa, anakuja
Mbele yake Bwana hakimu wao, anakuja