Bwana Atakufunika
Bwana Atakufunika | |
---|---|
Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
Album | Mshike Mshike (Vol 5) |
Category | Zaburi |
Composer | M. Rwohoka |
Views | 6,316 |
Bwana Atakufunika Lyrics
Bwana Atakufunika kwa manyoya yake
Bwana Atakufunika kwa manyoya yake
{ Chini, chini chini chini,
Chini -chini ya mbawa zake *2
Utapata kimbilio kiimbilio } *2- Mabaya hayatakupata wewe,
Wala tauni haitakaribia hema yako - Atakufunika kwa manyoya yake,
Chini ya mbawa zake, chini utapata kimbilio, kimbilio - Atakuagizia malaika,
Uwepo safarini, kweli, wakulinde katika njia zako zote