Login | Register

Sauti za Kuimba

Bwana Atakufunika Lyrics

BWANA ATAKUFUNIKA

@ M. Rwohoka

Bwana Atakufunika kwa manyoya yake
Bwana Atakufunika kwa manyoya yake
{ Chini, chini chini chini,
Chini -chini ya mbawa zake *2
Utapata kimbilio kiimbilio } *2

  1. Mabaya hayatakupata wewe,
    Wala tauni haitakaribia hema yako
  2. Atakufunika kwa manyoya yake,
    Chini ya mbawa zake, chini utapata kimbilio, kimbilio
  3. Atakuagizia malaika,
    Uwepo safarini, kweli, wakulinde katika njia zako zote
Bwana Atakufunika
COMPOSERM. Rwohoka
CHOIRSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
ALBUMMshike Mshike (Vol 5)
CATEGORYZaburi
REFPs. 91
MUSIC KEYE Major
TIME SIGNATURE3
8
SOURCETanzania
  • Comments