Bwana Atuita
Bwana Atuita Lyrics
Bwana atuita - Bwana Yesu atuita
Tujongee mbele yake tukampokee
- Mwili wako ee Bwana damu yako ee
Bwana yatushibisha roho zetu
- Karamu yako ni chakula cha kweli,
Karamu yako ni kinywaji cha kweli
- Karamu yako ni kumbukumbu ya mateso
Karamu yako ni karamu ya sadaka
- Karamu yako ni mwanakondoo wa kweli
wa sadaka
Karamu yako ni maana kweli katika safari yetu
- Karamu yako ni imani ya ufufuko wako
Karamu yako ni mfano wa karamu ya mbinguni
- Karamu yako ni dawa ya udhaifu wetu
Karamu yako ni malisho ya mchungaji