Bwana Awabariki
Bwana Awabariki | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Harusi |
Views | 11,506 |
Bwana Awabariki Lyrics
Bwana awabariki, Bwana awabariki
Bwana awabariki milele- Ukimcha Mungu - Bwana awabariki
Na kutembea -
Pamoja naye -
Heri ni yako - - Na mke wako -
Atastawi -
Kama mzabibu -
Wenye matunda - - Watoto wako -
Watafanana -
Na machipuko -
Ya mzeituni - - Ubarikiwe -
Kutoka Saioni -
Maishani mwetu -
Amani kwako -