Bwana Awabariki

Bwana Awabariki
ChoirTBA
CategoryHarusi
Musical Notes
Time Signature4
4
Music KeyG Major

Bwana Awabariki Lyrics

Bwana awabariki, Bwana awabariki
Bwana awabariki milele

 1. Ukimcha Mungu - Bwana awabariki
  Na kutembea -
  Pamoja naye -
  Heri ni yako -
 2. Na mke wako -
  Atastawi -
  Kama mzabibu -
  Wenye matunda -
 3. Watoto wako -
  Watafanana -
  Na machipuko -
  Ya mzeituni -
 4. Ubarikiwe -
  Kutoka Saioni -
  Maishani mwetu -
  Amani kwako -

Favorite Catholic Skiza Tunes