Ee Bwana Fadhili Zako
Ee Bwana Fadhili Zako | |
---|---|
Performed by | Kwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha |
Album | Nikiziangalia Mbingu (vol 18) |
Category | Zaburi |
Composer | John Mgandu |
Views | 7,399 |
Ee Bwana Fadhili Zako Lyrics
Ee Bwana, ee Bwana, fadhili zako zikae nasi *2
{ Kama vile tulivyokungoja wewe (Bwana)
Kama vile tulivyokungoja wewe Bwana wewe Bwana } *2- Kwa kuwa neno la Bwana, neno la Bwana lina adili
Na kazi yake yote huitenda kwa uaminifu - Hupenda haki na hukumu, hupenda haki na hukumu
Nchi imejaa fadhili za Bwana - Tazama jicho la Bwana, li kwao wamchao
Wazingojeeao fadhili fadhili za Bwana