Wewe Bwana Nguvu Zangu
| Wewe Bwana Nguvu Zangu | |
|---|---|
| Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
| Album | Tazameni Miujiza (Vol 2) |
| Category | Zaburi |
| Composer | T. Khaoya |
| Views | 5,314 |
Wewe Bwana Nguvu Zangu Lyrics
Wewe Bwana nguvu zangu nakupenda sana *2
Bwana - ni jabali langu (na boma)
Na boma langu, boma na Mwokozi wangu- Mungu wangu Mwamba wangu ninayemkimbilia
Ngao pembe boma ya wokovu wangu
Nitamwita Bwana asitahiliye kusifiwa. - Bwana ndiye aliye hai na atukuzwe Mungu,
Ampa mfalme ampa mfalme wake mkuu
Amfanyia fadhili masiha wake.