Wewe Bwana Nguvu Zangu

Wewe Bwana Nguvu Zangu
Performed bySt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
AlbumTazameni Miujiza (Vol 2)
CategoryZaburi
ComposerT. Khaoya
Views4,458

Wewe Bwana Nguvu Zangu Lyrics

  1. Wewe Bwana nguvu zangu nakupenda sana *2
    Bwana - ni jabali langu (na boma)
    Na boma langu, boma na Mwokozi wangu

  2. Mungu wangu Mwamba wangu ninayemkimbilia
    Ngao pembe boma ya wokovu wangu
    Nitamwita Bwana asitahiliye kusifiwa.
  3. Bwana ndiye aliye hai na atukuzwe Mungu,
    Ampa mfalme ampa mfalme wake mkuu
    Amfanyia fadhili masiha wake.