Bwana Nakushukuru
| Bwana Nakushukuru | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Ekaristia (Eucharist) |
| Views | 26,495 |
Bwana Nakushukuru Lyrics
- 1. Bwana nakushukuru asante *2
Pendo lako kwangu kubwa sana *2Umenilisha mwili wako na damu yako
(Bwana) ili ni nipate uzima wa milele
(Ewe) Bwana nakushukuru asante
Nitakulipa nini mimi kwa mema yote ambayo wanijalia
Bwana nakushukuru asante - Bwana nakushukuru asante *2
Kwani umenilisha mwilio *2 - Bwana nakushukuru asante *2
Kwani umeninywesha na damuyo *2