Bwana Nakushukuru

Bwana Nakushukuru
ChoirTBA
CategoryEkaristia (Eucharist)

Bwana Nakushukuru Lyrics

 1. Bwana nakushukuru asante *2
  Pendo lako kwangu kubwa sana *2

  Umenilisha mwili wako na damu yako
  (Bwana) ili ni nipate uzima wa milele
  (Ewe) Bwana nakushukuru asante
  Nitakulipa nini mimi kwa mema yote ambayo wanijalia
  Bwana nakushukuru asante

 2. Bwana nakushukuru asante *2
  Kwani umenilisha mwilio *2
 3. Bwana nakushukuru asante *2
  Kwani umeninywesha na damuyo *2