Bwana Ndiye Mchungaji
| Bwana Ndiye Mchungaji | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Zaburi |
| Views | 8,232 |
Bwana Ndiye Mchungaji Lyrics
Bwana ndiye mchungaji wangu *2
Sitapungukiwa na kitu- Bwana ndiye mchungaji wangu
sitapungukiwa na kitu
Katika malisho ya majani mabichi hunilaza
Kando ya maji ya utulivu huniongoza - Huniuhuisha nafsi yangu na kuniongoza
katika njia za haki
Kwa ajili ya jina lake, nijapopita kati ya bonde
La utulivu wa mauti sitaogopa mabaya.