Bwana Ndiye Mchungaji
Bwana Ndiye Mchungaji | |
---|---|
Performed by | Our Lady of Fatima Kongowea |
Album | Uninyunyizie Maji (vol. 2) |
Category | Zaburi |
Views | 9,147 |
Bwana Ndiye Mchungaji Lyrics
- Bwana ndiye mchungaji wangu*2
Sitapungukiwa na kitu *2
Katika malisho ya majani mabichi hunilaza,
Kando ya maji ya utulivu huniongoza *2
 - Huandaa meza mbele yangu *2
machoni pa watesi wangu *2
Umenimwaga mafuta kichwani mwangu ,
Na kikombe changu kinafurika *2
 - Hakika wema na fadhili
Hakika wema na fadhili zitanifuata siku zote*2
Zitanifuata siku zote za maisha yangu,
Nami nitakaa nyumbani mwa Bwana Milele*2
 - Katika njia za haki
Katika njia za haki, sitaogopa mabaya *2
Kwa maana wewe upo pamoja nami
Onyo lako na fimbo yako vyanifariji