Bwana Ndiye Mchungaji Lyrics

BWANA NDIYE MCHUNGAJI

 1. Bwana ndiye mchungaji wangu*2
  Sitapungukiwa na kitu *2
  Katika malisho ya majani mabichi hunilaza,
  Kando ya maji ya utulivu huniongoza *2
  Â
 2. Huandaa meza mbele yangu *2
  machoni pa watesi wangu *2
  Umenimwaga mafuta kichwani mwangu ,
  Na kikombe changu kinafurika *2
  Â
 3. Hakika wema na fadhili
  Hakika wema na fadhili zitanifuata siku zote*2
  Zitanifuata siku zote za maisha yangu,
  Nami nitakaa nyumbani mwa Bwana Milele*2
  Â
 4. Katika njia za haki
  Katika njia za haki, sitaogopa mabaya *2
  Kwa maana wewe upo pamoja nami
  Onyo lako na fimbo yako vyanifariji
Bwana Ndiye Mchungaji
CHOIROur Lady of Fatima Kongowea
ALBUMUninyunyizie Maji (vol. 2)
CATEGORYZaburi
REFPs. 23
 • Comments