Bwana Ni Nani
Bwana Ni Nani |
---|
Performed by | - |
Category | Zaburi |
Views | 6,224 |
Bwana Ni Nani Lyrics
[t] Bwana ni nani atakayekaa katika hema yako
[w]Bwana ni nani atakayekaa katika hema yako
Nani atakayefanya maskani yake katika kilima chako
Yeye aendaye kwa ukamilifu pia na kutenda haki
- [s/a] Maskani zako zapendeza kama nini
Ee Bwana wa majeshi *2 (A/T/B): A...min *2)
- [t/b] Heri wakaao nyumbani mwako
Daima wanakuhimidi *2
- [s/a] Hakika siku moja, siku moja katika nyua zako *2
- [t/b] Ni bora kuliko siku elfu, bora kuliko elfu *2