Bwana Ni Nani
| Bwana Ni Nani | |
|---|---|
| Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
| Album | Mbinguni Kutakuwa Raha (Vol 4) |
| Category | Zaburi |
| Composer | J. C. Shomaly |
| Views | 10,095 |
Bwana Ni Nani Lyrics
Bwana ni nani ni nani?
Bwana ni nani atakayekaaa katika hema yako,
ee Bwana } *2
{ Ni! na! ni! atakayefanya maskani yake
katika kilima chako,
Ni nani, na ni nani, nani na nani,
ni na-ni, na ni nani Bwana } *2- Ni yeye aendaye kwa ukamilifu na kuitenda haki
Asemaye kweli, kwa moyo wake. - Asiyesingizia kwa ulimi wake ndiye anastahili,
Asemaye kweli, kwa moyo wake. - Bwana ni nani atakayepanda katika kilima chako
Kilima chako, kitakatifu