Bwana Unipe Maji

Bwana Unipe Maji
Performed bySt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
AlbumMilele Milele Msifuni (Vol 1)
CategoryZaburi
ComposerJ. D. Mkomagu
Views4,395

Bwana Unipe Maji Lyrics

  1. Bwana unipe maji yale ya uzima, nisione kiu kamwe *2

  2. Hakika Bwana wewe ndiwe Mwokozi wa ulimwengu,
    Unipe maji yale ya uzima nisione kiu kamwe.
  3. Bwana asema atakayekunywa maji haya nitakayompa mimi,
    Yatakuwa ndani yake, chemichemi ya maji
    Yakibubujikia uzima wa milele