Bwana Tunakushukuru

Bwana Tunakushukuru
Performed byMoyo Safi (Unga Ltd)
CategoryThanksgiving / Shukrani
Views7,170

Bwana Tunakushukuru Lyrics

  1. Bwana tunakushukuru *2
    Bwana tunakushukuru *2

  2. Kwa wema wako
    Twashukuru eeh eeh twashukuru *2
    Umetulisha -
    Umetunywesha -
  3. Kweli ee Bwana -
    Unatupenda -
    Sisi wanao -
  4. Sote tuimbe - aleluya eeh eeh aleluya
    Tumekombolewa -
    Shetani kashindwa -
  5. Unatujali -
    Tucheze pamoja -
    Bwana ni mwema -
  6. Unatujali -
    Unatupenda -
    Unatutunza -
  7. Njooni tucheze -
    Sikukuu yetu -
    Na ngoma tucheze -
  8. Njooni tucheze -
    Umetulinda -
    Unatutuma -
  9. Wazazi wetu -
    Walezi wetu -
    Mmetulea -
  10. Shirika letu -
    Ulibariki-
    Na sisi sote -