Bwana Umenichunguza

Bwana Umenichunguza
Performed by-
CategoryZaburi
Views4,824

Bwana Umenichunguza Lyrics

  1. Bwana umenichunguza
    na kunipepesa mwenendo wangu
    Bwana umenichunguza

    Mimi mtu wa dhambi ninatangatanga duniani
    Sina hata rafiki, sina mtu wa kunifariji
    Ndugu zangu wamenikimbia na kunitoroka mimi
    Bwana ndiwe tegemeo langu maishani *2

  2. Watu wanashauriana juu yangu
    Mi mtumishi wako, Mimi mtumishi wako
  3. Bwana unisikilize na uwaaibishe adui zangu
    Bwana unisikilize.
  4. Bwana wewe wanijua wewe wanijua
    kuliko wote, Bwana wewe wanijua