Bwana Unifanye Chombo
Bwana Unifanye Chombo | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Sign of Peace/Kutakiana Amani |
Views | 10,875 |
Bwana Unifanye Chombo Lyrics
Bwana unifanye chombocha amani yako *2
- Palipo na chuki nilete amani, amani yako
Palipo ugomvi nilete msamaha wako - Palipo na shida nilete tumaini, tumaini lako
Palipo na giza nilete mwangaza wako - Palipo uchungu nilete furaha, furaha yako
Bwana nijalie niwe chombo cha kujaa