Bwana Utafakari Agano

Bwana Utafakari Agano
Performed bySt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
AlbumMilele Milele Msifuni (Vol 1)
CategoryZaburi
ComposerD. Kalolela
Views4,715

Bwana Utafakari Agano Lyrics

  1. Ee Bwana, ulitafakari agano, usisahau (milele)
    Uhai wa watu wako walioonewa *2

  2. Ee Mungu usimame ujitetee mwenyewe,
    Usisahau sauti ya watesi wako
  3. Maana pahali penye giza katika nchi
    Pamejaa makali ya ukatili
  4. Aliyeonewa asirejee ametiwa haya,
    Mnyonge mhitaji na walisifu jina lako
Pia umerekodiwa na kwaya nyinginezo Tanzania