Bwana Yesu Kafufuka

Bwana Yesu Kafufuka
Performed by-
CategoryPasaka (Easter)
Composer(traditional)
Views14,385

Bwana Yesu Kafufuka Lyrics

  1. Bwana Yesu kafufuka,
    tumwimbie aleluya, aleluya,
    Aleluya, aleluya, aleluya, aleluya, aleluya,

  2. Kweli Yesu kafufuka, asubuhi na mapema
  3. Kaburini ametoka, vile alivyoagua,
  4. Ameishinda mauti, amemshinda shetani
  5. Mbingu imefunguliwa, uzima umerudishwa,
  6. Sitakufa nitaishi, kutaja sifa za Bwana
  7. Ewe Yesu mshindaji, tuhurumie sisi
  8. Shukrani kwa Mungu wetu, kwa kuwa yeye ni mwema,
The same melody as Bwana Yesu Kazaliwa