Chakula Cha Bwana Tayari
| Chakula Cha Bwana Tayari | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Ekaristia (Eucharist) |
| Views | 7,186 |
Chakula Cha Bwana Tayari Lyrics
Chakula cha Bwana tayari -
Chakula cha Bwana tayari (sasa)
Chakula cha Bwana tayari twende tukale
Ni mwili wa Bwana (Yesu)
Na damuye twende tukale
Twende kwa furaha twende tukale- Ni chakula - kutoka Mbinguni
Kimeandaliwa twende tukale - Ni chakula - cha kutushibisha
Kimeandaliwa twende tukale - Ni chakula - cha kutufariji
Kimeandaliwa twende tukale - Ni chakula - cha kutupa nguvu
Kimeandaliwa twende tukale