Chakula Cha Bwana Tayari

Chakula Cha Bwana Tayari
ChoirTBA
CategoryEkaristia (Eucharist)

Chakula Cha Bwana Tayari Lyrics

Chakula cha Bwana tayari -
Chakula cha Bwana tayari (sasa)
Chakula cha Bwana tayari twende tukale
Ni mwili wa Bwana (Yesu)
Na damuye twende tukale
Twende kwa furaha twende tukale

 1. Ni chakula - kutoka Mbinguni
  Kimeandaliwa twende tukale
 2. Ni chakula - cha kutushibisha
  Kimeandaliwa twende tukale
 3. Ni chakula - cha kutufariji
  Kimeandaliwa twende tukale
 4. Ni chakula - cha kutupa nguvu
  Kimeandaliwa twende tukale