Chakula cha Uwingu
Chakula cha Uwingu | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Ekaristia (Eucharist) |
Views | 5,068 |
Chakula cha Uwingu Lyrics
Chakula cha uwingu ni tayari
Karamu ya upendo na amani
Sogea (we) jongea (we) upokee *2
Utaonja utamu wa mbinguni *2- Chakula cha mbingu ni mwili wa Yesu na damu yake
- Sogea uone mapenzi ya Bwana yaliyo bora
- Atakugawia uzima wa mbingu ulio bora
- Atakushibisha atakubariki na kukunywesha