Dhihirisha Fadhili
Dhihirisha Fadhili |
---|
Performed by | - |
Category | Zaburi |
Composer | Bernard Mukasa |
Views | 3,004 |
Dhihirisha Fadhili Lyrics
Dhirisha fadhili fadhili zako za ajabu
wewe uwaokoaye wanaokukimbilia
Wasinione wasio haki, wananionea
Adui za roho yangu wanaonizunguka
{ Bali mimi bali mimi niutazame uso
wako katika haki
Niamkapo nishibishwe kwa sura yako } *2
- Wamenishtaki kwa makosa yao wenyewe,
Wakanihukumu kwa madhambi waliyotenda
Wamekunywa damu yangu waonekane wema
mbele ya watu
- Ushike kigao ushike ngao usimame
Bwana utete nami