Ee Baba Yetu Uliye Mbinguni

Ee Baba Yetu Uliye Mbinguni
Performed by-
CategoryMisa (Sung Mass)
Views5,777

Ee Baba Yetu Uliye Mbinguni Lyrics

  • Ee BabaBaba yetu uliye mbinguni
    Jina lako litukuzwe
    Ufalmeufalme wako na utufikie
    Utakalo lifanyike


    Utupe leo mkate wetu Ee Baba -
    utakalo lifanyike
    Mkate wetu wa kila siku ee Baba -
  • Tusamehe makosa yetu ee Baba -
    Kama vile twawasamehe ee baba -
  • Na usitutie kishawishini ee baba -
    Maovuni utuopoe ee baba -
  • Kwa kuwa nguvu na utukufu ee Baba -
    Ni zako hata milele ee Baba -