Ee Bwana Fadhili Zako
| Ee Bwana Fadhili Zako | |
|---|---|
| Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
| Album | Ikatetemeka Nchi (Vol 3) |
| Category | Zaburi |
| Composer | A. I. Kibindo |
| Views | 5,186 |
Ee Bwana Fadhili Zako Lyrics
{ Ee Bwana, fadhili zako zikae nasi
Kama vile tunavyokungoja } *2
Tunavyokungoja wewe (Bwana)- Huzipenda haki na hukumu,
Nchi imejaa fadhili za Bwana - Kwa neno la Bwana mbingu zilifanyika,
Na jeshi lake lote na kwa pumzi ya kinywa chake - Tazama jicho la Bwana li kwa wamchao
Wazingojeeao wazingojeao fadhili zake