Ee Bwana Nakuinulia Nafsi Lyrics

EE BWANA NAKUINULIA NAFSI

{Ee Bwana * 3 nakuinulia nafsi yangu }*2
{Ee Mungu nimekutumaini }*3
wewe nisiaibike milele *2

  1. Ee Bwana unijulishe nijulishe njia
    Unifundishe mapito yako
  2. Niongoze katika kweli katika kweli yako
    Uniongoze na kunifundisha
  3. Bwana Mungu ni mwema sana pia
    Ni mwenye adili atawafundisha wenye dhambi
Ee Bwana Nakuinulia Nafsi
CHOIR
CATEGORYZaburi
REFPs. 25
  • Comments