Ee Bwana Nitakushukuru
Ee Bwana Nitakushukuru | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Thanksgiving / Shukrani |
Views | 6,552 |
Ee Bwana Nitakushukuru Lyrics
Ee Bwana nitakushukuru
kwa moyo wangu wote
Ee Bwana nitakushukuru
kwa moyo wangu wote
Mbele ya miungu nitakuimbia zaburi,
Nitashukuru nikilikabili hekalu lako takatifu*2- Kwa maana umeikuza ahadi yangu
Kuliko jina lako lote - Ingawa Bwana yuko juu naye amuona
Amwona mtu Yule mnyenyekevu - Ee Bwana fadhili zako ni za milele
Usiziache kazi za mikono yako