Ee Bwana Nitakushukuru

Ee Bwana Nitakushukuru
Choir-
CategoryThanksgiving / Shukrani

Ee Bwana Nitakushukuru Lyrics

 1. Ee Bwana nitakushukuru
  kwa moyo wangu wote
  Ee Bwana nitakushukuru
  kwa moyo wangu wote
  Mbele ya miungu nitakuimbia zaburi,
  Nitashukuru nikilikabili hekalu lako takatifu*2

 2. Kwa maana umeikuza ahadi yangu
  Kuliko jina lako lote
 3. Ingawa Bwana yuko juu naye amuona
  Amwona mtu Yule mnyenyekevu
 4. Ee Bwana fadhili zako ni za milele
  Usiziache kazi za mikono yako