Ee Bwana Nitakutukuza
| Ee Bwana Nitakutukuza |
|---|
| Performed by | - |
| Category | Zaburi |
| Views | 3,801 |
Ee Bwana Nitakutukuza Lyrics
Ee Bwana nitakutukuza mimi
nitakutukuza Bwana wangu
{Nitakutukuza Bwana } *2 kwa maana,
kwa maana umeniinua wala hukuwafurahisha
adui adui zangu {Juu yangu} * 5
- Umeniinua nafsi yangu kutoka kuzimu
Umeniuhuisha na kunitoa mwao washukao shimoni
- Mwimbieni Bwana zaburi enyi watauwa
Na kufanya shukurani kwake kumbukumbu la utakatifu
- Usikie Bwana Bwana wangu na kunirehemu
Pia uwe msaidizi wangu nitakushukuru Bwana